
3. Leta Pogba katika Real
Madrid
Meneja mpya wa Real Madrid Zinedine Zidane amemhimiza rais wa klabu Florentino Perez kutumia kitita kikubwa cha pesa kumleta kiungo wa Juventus Paul Pogba katika Santiago Bernabeu. (Source: AS)
2. Sturridge anataka
kuiondoka Liverpool
Mshambuliaji wa Liverpool Daniel...