
MABINGWA wa Kenya, Gor Mahia usiku huu wametwaa taji la DSTV Super
Cup, mechi maalum ya kuashiria kupenuliwa kwa pazia la Ligi Kuu ya
Kenya, baada ya kuifunga mabao 2-1 Sofapaka Uwanja wa Nyayo, Nairobi.Kwa
ushindi huo, Gor inayofundishwa na kocha Mscotland, Frank Nuttal
imezawadiwa fedha za Kenya,...