
WEKUNDU wa Msimbazi Simba wamefanikiwa kumsainisha mkataba wa
miaka miwili kiungo mshambuliaji, Peter Mwalyanzi kutokea Mbeya City
fc.
Mwalyanzi alisaini mkataba huo jana na baada ya hapo alifanya
mahojiano maalumu na Sports Xtra ya Clouds fm na hapa chini ni baadhi
ya mambo aliyozungumza:
Swali:...