SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

May 20, 2015

SALEH ALLY "JEMBE" AANIKA KIKOSI CHAKE BORA CHA VPL 2014/2015

SALEH ALLY, Mwandishi mwandamizi wa gazeti la michezo la Championi na mchambuzi wa soka naye ametaja kikosi chake bora cha VPL 2014/2015. Ally Mustafa ‘Bartez’ (Yanga) Hassan Ramadhan Kessy (Simba) David Charles Luhende (Mtibwa Sugar) Salim Mbonde (Mtibwa Sugar) Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (Yanga) Raphael...

KIKOSI BORA CHA VPL 2014/2015 KILICHO PENDEKEZWA NA KOCHA WA MGAMBO BAKARI SHIME

BAADA ya jana kuona kikosi bora cha VPL 2014/2015 kilichopendekezwa na kocha Joseph Kanakamfumu, leo tuliahidi kukuletea kikosi bora cha kocha wa Mgambo JKT, Bakari Shime. KIKOSI BORA CHA VPL 2014/2015 KILICHOPENDEKEZWA NA BAKARI SHIME HII HAPA; Mohamed ally Yusuph (Tanzania Prisons) Hamad Juma...

HII NDIO LIST YA WACHEZAJI 10 HANDSOME

Mtandao mmoja huko Ulaya baada ya kuandika sana habari za soka na wamekunja kona tofauti kidogo na kuandika kuhusu list ya wachezaji wa soka wenye mvuto sana. Kwa lugha yao unaweza kusema kama The most handsome soccer players. List yao ndio hii hapa kuanzia...