
Adhabu ya kufungiwa mechi tatu kwa kiungo wa Chelsea Nemanja Matic
imepunguzwa hadi mechi mbili. Mchezaji huyo atakosa mchezo wa fainali ya
Kombe la Ligi siku ya Jumapili dhidi ya Tottenham. Tume huru ya
udhibiti ya Chama cha soka cha England FA ilishikilia adhabu, baada ya
rufaa kukatwa na...