
Pamoja na kucheza bila Gyan Asamoh na Andre Ayew Ghana imefanikiwa kufuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa Afrika (Afcon).
Black Star imefanikiwa kufuzu kwa kuichapa Togo iliyoongozwa na Emmanuel Adebayor iliyokuwa ugenini kwa mabao 3-1, leo.
Kutokana na ushindi huo, Ghana imefikisha...