
Na Haji balou
Ligi ya mbuzi Vijana Cup imeendelea tena hii leo katika mchezo mmoja uliopigwa katika uwanja wa shule ya Msingi muungano kati ya Nangando fc dhidi ya Zfc na umemalizika kwa Zfc kuibuka na ushindi wa goli 3-2.
Katika mchezo huo uliokuwa mkali na wakusisimua Nangando fc ndio...