
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAMRAIS
wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini –TF, Jamal Malinzi ametuma salama
za pongezi kwa timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) kwa
kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia (The
She-polopolo).Katika salam zake...