Timu ya Bodaboda fc imeibuka na ushindi wa goli 4-1 dhidi ya Vijuso fc katika mchezo wa mashindano ya ligi ya mbuzi vijana Cup katika mchezo uliopigwa uwanja wa Shule ya Msingi Muungano.
Magoli ya Bodaboda fc yalifungwa na Saidi milasi dakika ya 40, Given ambaye alifunga magoli mawili katika dakika...