
REAL Madrid walihitaji ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Juventus
usiku huu ili kutinga fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, lakini ndoto
zao zimezimwa Santiago Bernabeu.
Cristiano Ronaldo ameamusha uwanja wa mzima wa Bernabeu baada ya
kufunga goli la kuongoza dakika ya 23′ kwa mkwaju wa penalti na...