SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Jun 22, 2016

WALICHOSEMA REAL MADRID KUHUSU ALVARO MORATA

Na Haji balou Timu ya Real Madrid imethibitisha kuwa nampango wa kumsajili Alvaro Morata kutoka Juventus msimu huu. Morata alijiunga na Mabingwa wa Italy Juventus mwaka 2014 akitokea Real Madrid kwa mkataba wa miaka minne (4) uliogharimu Euro million 20 lakini vigogo hao wa Spain wapo tayari...

YANGA WAMEFIKIA HAPA KUHUSU HASSAN KESSY KUCHEZA MICHUANO YA CAF

Na Haji Balou YANGA wamewaandikia barua Simba SC kuwajulisha kumsajili beki Hassan Ramadhan Kessy na kuuliza kama kuna pingamizi lolote kutoka kwao, na wakati huo huo nakala zimepelekwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Yanga ilishindwa kumtumia Kessy Jumapili katika mchezo...

MAYANJA AREJEA DAR KUANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

Na Haji Balou KOCHA wa Simba, Mganda Jackson Mayanja anatarajiwa kuwasili Juni 25 au Juni 26 na siku moja baadaye ataanza programu ya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alipozungumza na mwandishi wetu  leo kuhusu...

MZAMBIA WA YANGA APEWA JEZI YA COUTINHO

Na Haji balou SIKU chache baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga, uongozi wa Yanga umemkabidhi jezi namba saba mshambuliaji wake Mzambia, Obrey Chirwa. Chirwa alitua nchini wiki iliyopita akitokea FC Platinum ya Zimbabwe aliyokuwa anaichezea pamoja na mshambuliaji tegemeo, Donald...