NA Haji balou
Azam FC inatarajia kuondoka nchini
Jumatano ya keshokutwa kuelekea Afrika Kusini ‘Sauz’ kupambana na Bidvest Wits lakini kocha wa timu hiyo, Muingereza, Stewart Hall ametamba kuwa anaondoka akiwa ameshanasa siri nyingi za kiufundi
za wapinzani wake hao.
Pamoja na hayo, Stewart amesema...