SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Apr 9, 2015

JUMA KASEJA HUYOOO SHINYANGA

Na Alex Sanga, SHINYANGASTAND United ya Shinyanga inainyatia saini ya kipa wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Juma Kaseja, imeelezwa.Mkurugenzi wa benchi La Ufundi wa Stand United, Muhibu Kanu ameiambia BIN ZUBEIRY jana kwamba, wana mipango ya kumsajili kipa huyo wa zamani wa Simba...

HANS POPPE: KESSY HAJITAMBUI WALA HAJIJUI

Na Princess Asia, DAR ES SALAAMMWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba beki Hassan Ramadhani Kessy hajatumia busara kususa wakati anaidai klabu hiyo Sh. Milioni 5, baada ya kulipwa Sh. Milioni 15 za usajili wake.Akizungumza na BIN ZUBEIRY leo Dar...

KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO APRIL 9, 2015

...

COUTINHO AIPELEKA LIVERPOOL NUSU FAINALI KOMBE LA FA

Philippe Coutinho akishangilia baada ya kufunga bao pekee zikiwa zimesalia dakika 20 mchezo kumalizika katika ushindi wa 1-0 wa Liverpool dhidi ya Blackburn Rovers Uwanja wa Ewood Park, mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Kombe la FA. Mchezo wa kwanza timu hizo zilitoka sare...

SUAREZ APIGA MBILI, MESSI MOJA...BARCELONA YAUA 4-0 LA LIGA

Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiwa amemrukia mchezaji mwenzake, Lionel Messi baada ya wawili hao wote kufunga mabao katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya Almeria Uwanja wa Camp Nou usiku huu. Messi alifunga moja, Suarez mawili na lingine Marc...

RONALDO AFUNGA BAO LA 300 REAL MADRID IKISHINDA 2-0 LA LIGA

Cristiano Ronaldo akifunga bao lake la 300 katika mechi ya 288 tangu aanze kuchezea Real Madrid katika mchezo wa La Liga dhidi ya Rayo Vallecano usiku huu Uwanja wa Teresa Rivero. Bao lingine la Real lilifungwa na James Rodriguez. Ronaldo akishangilia bao lake la 300...