
Meneja wa klabu ya Man Utd, Louis van Gaal ametangaza
kustahafu kufanya kazi aliyo nayo sasa mara atakapomaliza mkataba wake
na klabu hiyo ya nchini England.
Van Gaal, sanjari na wachezaji wake mwishoni mwa juma hili
watakabiliwa na mchezo muhimu katika ligi ya nchini England...