SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Apr 29, 2015

VAN PERSIE ‘AFUFUKA’, APIGA MBILI MAN UNITED IKISHINDA 4-1 ENGLAND

MSHAMBULIAJI Robin van Persie usiku huu amefunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 wa  U21 ya Manchester United dhidi ya vijana wenzao wa Fulham Uwanja wa Craven Cottage. Van Persie ambaye amekuwa nje ya Uwanja tangu Februari kutokana na majeruhi, alifunga mabao hayo katika dakika za...

FERGUSON: RONALDO ANAWEZA KUNG'ARA POPOTE, HATA MILLWAL, QPR... MESSI NI WA BARCELONA TU

KOCHA wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson ametaja sababu za wakati wote kumuona Cristiano Ronaldo yuko juu ya Lionel Messi wakati anazungumza na John Parrott wakicheza pool table, maarufu pia kama snooker. Kocha huyo mwenye mafanikio makubwa zaidi katika historia...

MESSI, SUAREZ KILA MMOJA APIGA MBILI BARCA IKIUA 6-0

TIMU ya Barcelona imezidi kuukaribia ubingwa wa Ligi Kuu Hispania, La LIga baada ya leo kuifunga Getafe mabao 6-0 Uwanja wa Nou Camp na sasa inawazidi Real Madrid kwa pointi tanio. Lionel Messi aliwafungia wenyeji bao la kwanza dakika ya 10 kwa mkwajunwa penalti baada ya Luis Suarez...