
Na Amplifaya Amplifaya
Mchezaji kutoka Manchester United
Ander Herrera amesema kuwa wanaisubiri Arsenal kwa nguvu zote hapo
jumatatu katika kombe la FA huku akisema kwa mkazo kuwa hawaiogopi bali
wanaiheshimu.
Mara baada ya mechi ya mwisho
kuisha na Manchester United kupata point 3 dhidi ya...