
BONDIA Floyd Mayweather amemuita mpinzani wake Manny Pacquiao mwoga na amekataa pambano la marudiano.
Mayweather
alishinda kwa pointi katika 'Pambano la Karne' la utajiri wa Pauni
Milioni 300 mjini Las Vegas mwishoni mwa wiki iliyopita.
Pacquiao
baadaye akasema kwamba aliumia bega wiki...