
NA Haji balou
Ligi ya mbuzi vijana cup imeendelea tena leo may 22 kwa mchezo mmoja kati ya kati ya Black star dhidi ya Wakaanga Sumu
Lakini timu ya Black star haikujitokeza uwanjani na haijatoa taarifa yeyote kwa uongozi wa Ligi .
Uongozi wa ligi unalazimika kutoa pointi tatu kwa timu ya Wakaanga...