
Mario Balotelli
Mario Balotelli anacheza mechi za kimataifa na the Azzurri na amefanikia
akufunga mara 13 kwenye mechi 33 alizocheza. Mambo haya angeweza
kuyafanya akiwa na timu ya taifa ya Ghana kwa sababu wazazi wake ni
wazawa wa nchi hiyo.
Rolando
Ni beki mwenye kipaji na ameitumikia vizuri...