
MSHAMBULAJI
Raheem Sterling hakuwa mwenye furaha wakati anapiga picha la tangazo la
jezi mpya za nyumbani za Liverpool kwa ajili ya msimu ujao.
Sterling
ametishia kuondoka Liverpool ili aende klabu nyingine akatimize ndoto
za kutwaa mataji, lakini jana ameshiriki tangazo la jezi mpya za msimu...