
Na Haji balou
YANGA SC imeanza vibaya mechi za
Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika,
baada ya kufungwa bao 1-0 wenyeji
Mouloudia Olympique Bejaia Uwanja
wa Unite Maghrebine mjini Bejaia
usiku huu.
Goli pekee la MO Bejaia alikuwa ni beki
Yassine Salhi aliyefunga bao hilo
pekee dakika ya 20, akimalizia...