Kiungo kinda wa Simba, Said Ndemla,
anatarajia kwenda kufanya majaribio
kwenye kikosi cha TP Mazembe ya DR
Congo ili kusaka nafasi ya kucheza soka
katika klabu hiyo.
Hivi karibuni, Watanzania, Abuu Ubwa na
Haruna Chanongo walienda kufanya
majaribio Mazembe ambapo kwa sasa
hatua iliyobaki ni makubaliano...