
Kocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAMYANGAS
SC wanarudi kambini leo baada ya mapumziko ya siku moja, kujiandaa na
mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Stand United kesho
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Yanga SC walilazimishwa
sare ya...