SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

HII NDIO DROO KOMBE LA FA

SIMBA CHALII KESSY AONESHWA NYEKUNDU

MANARA APATA AJALI

MKENYA APIGA MBILI LIVERPOO IKIUA 4-1

Jan 31, 2015

MATOKEO YA LEO JANUARY 31 VPL

                                                Polisi Moro 1-0 Mbeya City

                                         Prisons 2-2 Kagera Sugar

                                         Coastal Union 0 - 0 Mtibwa Sugar

                                         Simba 2 - 1 Jkt Ruvu 






LIVERPOOL YATAKATA EPL

Mshambuliaji Daniel Sturridge amerejea kwa kishindo kutoka kwenye maumivu yake baada ya kuifungia timu yake ya Liverpool bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Ham United Uwanja wa Anfield jioni ya leo.
Raheem steling aliifungia liverpool goli la kuongoza dakika 51 kabla ya Sturridge ailiye tokea bench kuchukua nafasi ya Lazar Markovic dakika ya 68 na kufunga bao dakika ya 80.




Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya Liverpool goli la pili dhidi ya West Ham United katika ushindi wa 2-0

FULL TIME; STAMFORD BRIDGE

Silva keeps title race alive



Chelsea imetoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Man city katika uwanja wa njumbani Stamford bridge Chelsea ili  wali kuwa ya kwanza kupata goli kupitia kwa mshambuliaji wake Remmy dakika ya 41dakika chache baadae David silva  

CONGO DR YAFUZU NUSU FAINALI KOMBE LA MATAIFA AFRIKA


 

DR Congo ilitoka nyuma na kuishinda Congo kwa mabao 4-2 na kufika katika semi fainali ya mechi za kombe la Afrika.
Congo DR ilitoka nyuma 2-0 na kuishinda Congo katika mechi iliokuwa na kasi na mchezo mzuri kutoka pande zote mbili.
Ferebory Dore alifunga krosi safi huku Thievy Bifouma akifanya mabao kuwa 2-0.
Katika dakika ya 16 Diermerci Mbokani alifunga bao la kwanza ,kabla ya Bolika kufunga bao la pili naye Joel Kimuaki akafunga bao la tatu.
Mbokani aliwazunguka tena mabeki wa Congo na kufunga bao la nne na la ushindi katika shambulizi la ghafla.

DOMAYO AIBEBE AZAM FC CONGO


Timu ya Azam fc imetoka sare ya 2-2 dhidi ya Zesco united magoli ya Azam fc yamefungwa na kiungu Frank domayo habari kutoka katika mtandao wa Azam unasema kuwa mechi ilikuwa nzuri sana kipimo sahihi kwa mechi za CAF Champions league, Mwalimu ameona mapungufu, atayafanyia kazi. Mechi ya Awali TP Mazembe 3-1 Don Bosco
Azam FC itacheza mechi ya mwisho dhidi ya Don Bosco Jumanne tarehe 3/2/2015

KUTOKA STAMFORD BRIDGE; GOOOOAALLLL

Chelsea 1 Man city 1 hivi sasa mapumziko

STAMFORD BRIDGE; GOOOOOAAAALLLL


Chelsea 1 Man city 0 dakika ya 41

SIMBA NA JKT RUVU KATIKA PICHA UWANJA WA TAIFA LEO



SSERUNKUMA NA WACHEZAJI WENZAKE WA SIMBA, WAKISHANGILIA BAADA YA BAO LA KWANZA. MGANDA HUYO ALIFUNGA BAO LA PILI PIA NA SIMBA KUIBUKA NA USHINDI WA BAO 2-1.






NAHODHA RUVU JKT AKUBALI KIPIGO CHA SIMBA, ASEMA WATAJIPANGA



Nahodha wa Ruvu JKT, George Minja amesema kufungwa kwao mabao 2-1 dhidi ya Simba ilikuwa ni hali ya kimchezo.


Minja amesema wana imani kuwa wana imani wataweza kucheza vizuri katika mechi zijazo na kurekebisha mambo.

"Mechi ilikuwa ngumu na utaona tumeshindwa lakini ni hali ya kimchezo, lakini tuna nafasi ya kufanya vizuri katika mechi zijazo," alisema.

Simba imeifunga JKT mabao 2-1 na kupata ushindi wake wa tatu msimu huu.

GOOOAALLL

Liverpool 2 westham 0 dakika ya 86

KUTOKA SANTIAGO BERNABEU

Real madrid 3 real socieded 1 dakika ya 78

KUTOKA ANFIELD MECHI INAENDELEA

Liverpool 1 Westham 0 dakika ya 75

KUTOKA OLD TRAFORD HALF TIME

Man united 3  Leicester 0 mapumziko

GOOOAAALLL

Real madrid 2 Real socieded 1 dakika 42

KUTOKA SANTIAGO BERNABEU MECHI INAENDELEA

Real madrid 1 Real socieded 1 dakika ya 37

MATOKEO KUTOKA OLD TRAFORD MECHI INAENDELEA

Man united 2 Leicester city 0 dakika ya 35

KUTOKA TAIFA; FULL TIME

Simba 2 Jkt ruvu 1 taarifa zaidi itafuata hivi punde

PRISONS MAMBO MAGUMU NYUMBANI MPIRA UNAENDELEA

Prisons 1 Kagera sugar 1 mpira unaendelea

MBEYA CITY MAMBO MAGUMU MPIRA UNAENDELEA

Police moro 1 Mbeya city 0 uwanja jamhuri morogoro

GOOOAAAL; KUTOKA TAIFA

     Dan Sserunkuma anaipatia simba goli la pili dakika ya 48 kipindi cha pili Simba 2 Jkt ruvu 1

HALIMBAYA SIMBA MECHI INAENDELEA

Simba 1 na Jkt  1

Goli la Simba limefungwa na Dani Sserunkuma na goal la Jkt limefungwa na George minja

PICHA JINSI BEN POL, SHILOLE, ROMA NA LINEX WALIVYO PAGAWISHA AZURRA BEACH

Image00005
Jana ilikuwa FURAHIDAY kwa watu wa nguvu Dar Es Salaam, staa wetu ambaye kwa sasa yuko kila kona kwa ile hit ya Sophia, Ben Pol alitukutanisha pale Azurra Beach Club kwa pamoja tukaenjoy kwa bata la nguvu kama ishara ya kuuaga mwezi January ndani ya mwaka 2015.
Ilipendeza, nyamachoma, vinywaji na muziki mzuri kutoka kwa Ben Pol mwenyewe, Shilole, Linex na rapper ROMA.
Pichaz za burudani yote hizi hapa mtu wangu.
Image00001
.
Muimbaji Ben Pol
Image00003
.
Ben Pol alifanya show hiyo akiwa na Band iliyopiga muziki LIVE
Image00005
.
Ben Pol kwenye stage na fans wake
Image00009
.
Linex
.
Linex akitoa burudani kwa fans wake
.
Rapper ROMA akiwa kwenye stage
Image00012
.
Baadhi ya fans waliojitokeza pale Azurra Beach Club
.
Shabiki akimtuza Ben Pol
Image00015
Image00016
Image00017
Image00018
.
Ben Pol na Shilole.

MAWAKALA WAGONGANA KUMPELEKA ULAYA SAID NDEMLA



Mawakala zaidi ya watano wamejitokeza kwa Klabu ya Simba na kuomba kumchukua kiungo wa klabu hiyo, Said Ndemla kwenda kufanya majaribio katika moja za timu za nje, hasa barani Ulaya.


Ikiwa mipango hiyo itakubalika na kwenda inavyotakiwa, maana yake ni kuwa itakuwa mara yake ya kwanza.
Awali, kulitolewa taarifa kuwa, wachezaji wengine wa klabu hiyo, Ramadhani Singano ‘Messi’ na Hassan Kessy, walikuwa kwenye mipango ya kwenda kufanya majaribio katika Klabu ya Real Madrid ya Hispania.
Evans Aveva ambaye ni rais wa Simba ndiye aliyefunguka kila kitu kwa kusema:

“Tunashukuru tunaendelea kutengeneza vijana na wanafanya vizuri, mawakala watano kutoka nje wameanza kuvutiwa na uwezo wa Said Ndemla, mipango inafanyika ili baada ya msimu huu wa ligi kuu kumalizika aweze kwenda nchi tofauti kufanya majaribio.
“Kwenye mchezo wetu na Azam viongozi wa Real Madrid walivutiwa na kiwango cha Singano na Kessy, waliomba CD zao kwenda kuifanyia kazi.
“Ni jambo la kujivunia, zaidi mashabiki wetu waendelee kuisapoti na kuiunga timu mkono ili kuweza kusonga mbele na kufanya vizuri, wasikate tamaa, timu itafanya vema.”