SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Mar 13, 2015

IVO MAPUNDA ASEMA BARTHEZ ASISHAMBULIWE, OKWI NDIYE APONGEZWE

Kipa mkongwe wa Simba, Ivo Mapunda amemtetea Barthez kwa kusema hastahili lawama kwa bao alilofungwa. Ivo aliyewahi kudakia Yanga kwa zaidi ya misimu miwili amesema Barthez hastahili kulaumiwa kwa kuwa amefungwa bao bora. “Bado naamini Barthez ni kipa bora na mwenye uwezo wa juu,...

WANACHAMA YANGA SASA RASMI HAWAWATAKI WACHEZAJI WA SIMBA WALIO YANGA

Kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba, kimeendelea kuitesa Yanga, hiyo ni baada ya jana asubuhi kufanyika kikao kizito kati ya viongozi wote wa matawi wa Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga kisha kutolewa maoni ‘tata’. Kikao hicho, kilifanyika kwenye makao makuu...

CHELSEA SASA IKO TAYARI KUMTWAA VARANE WA REAL MADRID

Chelsea imeamua kuboresha safu yake ya ulinzi na sasa iko tayari kumtwaa beki Raphael Varane wa Real Madrid. Chelsea iko tayari kumwaga kitita cha pauni 40 kwa ajili ya kumnasa beki huyo inayeelezwa hana furaha. Varane mwenye miaka 21 amekuwa hana furaha huenda kutokana na kutopata nafasi...

HIVI ULIONA HANS POPPE ALIVYOWANANGA YANGA? CHEKI HII HAPA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Han Poppe alitoa kali ya mwaka Jumapili mara tu baada ya watani, Simba na Yanga kumalizika. Mechi hiyo ilimalizika kwa Simba kushinda kwa bao 1-0 na kuwanyamazisha Yanga. Lakini kama hiyo haikutossha baada Hans...

LUKAKU AING'ARISHA EVERTON ULAYA

Mshambuliaji Romelu Lukaku wa Everton akimuacha chini Danilo Silva wa Dynamo Kiev katika mchezo wa Europa League jana usiku Uwanja wa Goodison Park. Everton ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Steven Naismith na Lukaku, wakati bao la Dynamo lilifungwa na Oleg Gusev. Timu hizo...

KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO MARCH 13 ZIPO HAPA

. . . . . ....