
Na Haji balou
Sky Sport wameripoti kuwa Zlatan Ibrahimovic atakamilisha
usajili wa kujiunga na Man United wakati
wowote kuanzia sasa ila ni kabla ya michuano
ya mataifa ya Ulaya kuanza, Sky Sport
wanaeleza kuwa kocha wa Man United Jose
Mourinho amepanga kusajili mshambuliaji
mmoja katika dirisha...