
Beki
wa Yanga SC, Oscar Joshua akiwa hewani kuppiga mpira kichwa dhidi ya
Salim Mlima wa Mgambo JKT katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
Bara jana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Yanga SC ilishinda 2-0.
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka Mohammed Samatta wa Mgambo
Simon...