
Na Haji balou
KLABU ya Azam FC itamkosa kiungo
Farid Mussa Malik (pichani kushoto)
katika wa mchezo wa marudiano
hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Esperance nchini Tunis wiki ijayo.
Baada ya kufunga bao la kusawazisha katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza jana Uwanja...