SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Mar 8, 2015

MANCHESTER UNITED KUMUUZA DI MARIA

Di Maria Di Maria hajaonyesha umahiri wake tangu aliposajiliwa katika kilabu ya Manchester united kutoka Real Madrid na inaaminika kwamba yeye na mkewe hawajazoea maisha ya...

OKWI APELEKA SHEREHE MSIMBAZI

Mshambuliaji  wa Simba Emmanuel Okwi ameibuka shujaa katika mchezo wa leo baada ya kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya Yanga jioni hii. Okwi alifunga goli hilo dakika ya 52 baada ya kumchungulia kipa wa Yanga Barthez aliye toka langoni mwake.Hawa ni baadhi ya...

HAWA NDIO WACHEZAJI AMBAO UMRI WAO UNAFANANA

Na Amplifaya Amplifaya Mara nyingi binadamu kama viumbe hai siku zote huwa tunapenda kuangalia muonekano wa mtu kiujumla na kukadiria miaka ya mtu husika kuwa huyu atakuwa na umri huu,  wengi huangalia sura au ukomavu wa mwili halikadhalika umbo la mtu. Leo nimekuletea wachezaji ambao...

PICHA: ALI KIBA ALIVYO PAGAWISHA MASHABIKI WAKE ARUSHA #CHEKETOUR JANA

Usiku wa March 07 ilikua ni zamu ya mkoa waArusha nao kufikiwa na ile tour ya Ali Kiba inayoitwa Chekecha Cheke tour,hii ilikua ndani ya viunga vya Triple A,kama ilivyokuwa kwa Moshi Ali Kiba pia usiku huo. Leo March 08 Ali Kiba ataimalizia kanda ya kaskazini kwa show kwenye mpaka Tanzania...

HIZI NI KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO MAGAZETI YA MICHEZO LEO MARCH 8

. ....

TEGETE: TUTAIFUNGA SIMBA LEO

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Kuelekea mchezo wa mahasimu wa kandanda nchini Simba SC v Yanga SC kesho Jumapili katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mshambulizi aliyefunga mabao matano katika michezo iliyopita Jerson Tegete ameuambia  mtandao huu kuwa mechi hiyo itakuwa ngumu kwa...

ALICHOSEMA JULIO BAADA YA JANA KULAZIMISHWA SARE NYUMBANI

Na. Richard Bakana Kocha msaidizi wa klabu ya Coastal Union, kutoka Tanga, Jamhuri Kihwero ‘Julio’ ameangushia zingo la lawama safu yake ulinzi na kusema kuwa wamecheza kipuuzi kitu kilichopelekea kugawana pointi moja moja na Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzamia bara uliomalizika...

REAL YAFA 1-0 SAN MAMES, BARCA YAWEZA PANDA KILELENI LEO LA LIGA IKIICHAPA VALLECANO

TIMU ya Real Madrid imefungwa 1-0 na Athletic Bilbao Uwanja wa San Mames usiku huu na maana yake iwapo Barcelona itaifunga Rayo Vallecano kesho mchana itapanda kileleni mwa La Liga. Gareth Bale aligongesha mwamba akiwa umbali wa mita 50 kabla ya Aritz Aduriz kufunga kwa kichwa...