
MOJA YA NDEGE ZINAZOMILIKIWA NA SERIKALI YA TANZANIA.
Yanga inatarajiwa kwenda Zimbabwe Ijumaa,
tayari kuivaa FC Platinum.
Kikosi cha Yanga kinatarajia kufanya safari
yao ya Zimbabwe kwa kutumia ndege ya serikali.
Habari za kuaminika kutoka ndani ya Yanga
zimeeleza timu hiyo itasafiri...