SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

HII NDIO DROO KOMBE LA FA

SIMBA CHALII KESSY AONESHWA NYEKUNDU

MANARA APATA AJALI

MKENYA APIGA MBILI LIVERPOO IKIUA 4-1

Jul 29, 2015

KAZIMOTO ALITAKAA KWENDA MISRI AKAAMUA KURUDI SIMBA


KAZIMOTO AKIWA QATAR...
Kiungo Mwinyi Kazimoto amejiunga tena na Simba akitokea Al Markhiya ya Qatar.


Mwinyi amerejea Simba baada ya kujiunga na Al Markhiya akitokea Msimbazi. 

Ameichezea timu hiyo ya daraja la pilim misimu miwili, lakini ikashindwa kupanda daraja.
AKISAINI KUREJEA SIMBA.

Kutokana na hali hiyo, uongozi wa Al Markhiya ukaamua kubadili asilimia kubwa ya wachezaji ilionao ili kuleta mabadiliko iweze kupanda daraja. Fagio likamkumba Kazimoto, lakini alikuwa na bahati.

Kwani wakati mabadiliko yanafanyika, yeye tayari alikuwa amepata ofa ya kujiunga na Petrojet inayoshiriki Ligi Kuu Misri.
HANS POPPE AKIPOKEA MKWANJA WA KUMUUZA KAZIMOTO NCHINI QATAR.

Licha ya juhudi za kutaka kiungo huyo ajiunge na Petrojet, yeye alisisitiza anataka kurejea nyumbani na mwisho, amejiunga na Simba!

"Ni kweli tumefanya juhudi kumshawishi kwamba Petrojet ingekuwa changamoto nzuri kwake. Lakini alikataa katakata na akasisitiza anataka kurejea nyumbani, hatukuwa na ujanja.

"Kibaya kwa wachezaji wa Tanzania, wengi wanataka kubaki Tanzania, ni waoga wa changamoto," kilieleza chanzo cha uhakika kutoka ndani ya al Markhiya huko Qatar.

Jul 25, 2015

SIKIA CANNAVARO ALIVYOWAAMBIA SIMBA KAMA WATAMSAJILI MICHAEL OLUNGA

OLUNGA (KULIA) AKISHANGILIA NA WENZAKE WA GOR MAHIA...
Simba inapambana muda wote kuhakikisha inamsajili straika Michael Olunga wa Gor Mahia, lakini nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ni kama anataka kutibua dili hilo aliposema; “Huyo Olunga hana lolote, isipokuwa ana bahati tu.”


Cannavaro alienda mbali kwa kusema, siku Yanga ilipocheza na Gor Mahia ni kweli Olunga aliwasumbua na kufanikiwa kufunga bao moja katika ushindi wa mabao 2-1 walioupata, lakini hana uwezo wa kusumbua katika ligi.
CANNAVARO
Cannavaro amesema: “Ujue siku ile tulipocheza na Gor Mahia, Olunga alikuwa na bahati na kweli alitusumbua lakini sidhani kama ana uwezo mkubwa kiasi cha kututisha.”

“Kwa kweli alibahatisha tu, nasikia Simba wanataka kumsajili. Waache wamsajili halafu tukutane naye katika ligi (Ligi Kuu Bara) ndipo watakapoona kama wanamsajili mchezaji wa kawaida tu.”


Cannavaro alisema anatamani wakutane tena na Gor Mahia katika mechi zijazo za Kombe la Kagame ili kuthibitisha kauli yake na kuwahakikishia Simba kwamba wanataka kusajili mchezaji wa kawaida.

Jul 16, 2015

KIBURI CHAMUONDOA VALDEZ MAN UNITED

Victor-Valdes-training
Hatimaye kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amefumbua kile kilichokua kimejificha baada ya kushuhudia golikipa Victor Valdez akiachwa katika safari ya ‘Pre-season’ nchini Marekani.

Akiongea kwa mara ya kwanza na vyombo vya habari katika ‘tour’ hiyo ya nchini Marekani, pamoja na mambo mengine, Van Gaal alithibitisha kuwa klabu inajiandaa kumuuza mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona.

Van Gaal akatoboa kwamba, Valdez aligoma kucheza katika mechi za U21 ikiwa ni utaratibu wa kujijenga kurudi katika fomu yako ya kawaida.

Van Gaal amesema, Valdez alienda kinyume na aliichoita ‘philosophy’ yake. Van Gaal huwamuru wachezaji kujiunga na timu ya vijana ya U21 katika hali ya kuwafanya warudishe fitness zao, lakini Valdez alikataa imefahamika.

Pamoja na sintofahamu ya golikipa David de Gea, lakini Van Gaal anasema hawawezi kumvumilia mchezaji kama Valdez na kumshangaa kwamba walimsaidia kurudi katika hali yake, ikiwa ni pamoja na kumpa mkataba lakini amekiuka masharti.

Alipoulizwa kuhusu mustakabali wa De Gea, kocha huyo alisema ni upuuzi kuuliza swali hilo kwani De Gea anaonesha ‘commitment’ na ueledi mkubwa kikosini hapo.

Kuhusu DiMaria, Van Gaal alisema, mchezaji huyo ni mali yao lakini akasisitiza kuwa soka ni mchezo usiotabirika na kwamba mashabiki wasubiri kuona hadi mwisho itakuwaje.

Aidha katika mkutano huo na waandishi wa habari, wachezaji wapya walitambulishwa huku wakiulizwa pia maswali na waandishi katika utaratibu wa kawaida kabisa wa media.

Kwingineko tetesi zinasema kuwa Manchester United inamuwinda golikipa Romero wa timu ya taifa ya Argentina huku Real Madrid nao wakiingilia dili hilo.

STEWART ASEMA MESSI,TCHETCHE, AME, WAWA WOTE ‘WAPO UNGA’

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
NYOTA wa Azam FC, Serge Wawa Pascal Kipre, Miachel Balou, Kipre Herman Tchetche wote raia wa Ivory Coast pamoja wazalendo Ramadhani Singano ‘Messi’ na Ame Ali ‘Zungu’ wote hawako fiti.
Hayo yamesemwa na kocha Mkuu wa timu hiyo Muingereza, Stewart John Hall katika mahojiano na BIN ZUNBEIRY SPORTS- ONLINE jana jioni Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Pamoja na hao, Stewart amesema wachezaji wawili pia waliokuja majaribio kipa Vincent Atchouailou de Paul Angban kutoka Ivory Coast na kiungo Ryan Burge kutoka England, pia hawako fiti.
Na wakati michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame inaanza Jumamosi Dar es Salaam, Stewart amesema kwamba wachezaji wake kadhaa tegemeo hawako tayari. 
Hawako fiti; Kipre Tchetche (kulia) na Ramadhani Singano 'Messi' kushoto wakifanya mazoezi maalum baada ya kumaliza programu ya timu jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi

Stewart amevutiwa na Burge na amempa programu maalum ya kumuweka fiti pamoja na Wawa, Balou, Tchetche, Messi na Ame ambao wote wamekuwa wakifanya mazoezi ya ziada kabla na bada ya mazoezi ya timu kwa ujumla.
“Siku chache zimebaki kabla ya Kagame, lakini wachezaji wengi tegemeo katika kikosi cha kwanza hawako fiti. Messi, Kipre Tchetche, Balou, Ame, Serge Wawa na Ryan wote hawako fiti kwa sababu walichelewa kujiunga na wenzao kwa maandalizi ya mwanzo wa msimu,”amesema.
Hata hivyo, mtaalamu huyo amesema atafanya jitihada zinazowezekana kuhakikisha kwa siku chache zilizobaki wachezaji hao wanakuwa fiti angalau kwa asilimia 50.
Stewart Hall (katikati) akijadiliana na Meneja wa Azam FC, Luckson Kakolaki na kipa wa timu ya vijana, Metacha Boniphace
Kipre Michael Balou hayuko fiti
Serge Wawa Pascal pia hayuko fiti

“Napambana kupata angalau asilimia 50, kama wakizidi hapo itakuwa vizuri. Lakini lengo ni kufanya vizuri katika haya mashindano, ikibidi kuchukua Kombe,”amesema. 
Aidha, Stewart amepongeza usajili wa kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Jean Baptiste Mugiraneza ‘Migi’ kutoka APR ya kwao, akisema ni mchezaji mzuri kwa ujumla.
Migi anakuwa mchezaji wa sita wa kigeni wa Azam kati ya saba wanaotakiwa- na wa kwanza kabisa mpya kusajiliwa msimu huu. Wachezaji wa kigeni waliopo Azam FC ni beki Serge Wawa Pascal, kiungo Kipre Michael Balou, mshambuliaji Kipre Tchetche wote kutoka Ivory Coast, winga Brian Majwega kutoka Uganda na mshambuliaji Didier Kavumbangu wa Burundi ambao wote walikuwepo msimu uliopita.
Jean Baptiste Mugiraneza amefikisha idadi ya wachezaji sita wa kigeni waliosajiliwa Azam FC

Lakini pia, kuna wachezaji wengine wanne wa kigeni wanawania kusajiliwa Azam FC katika nafasi moja iliyobaki, ambao ni makipa Nelson Lukong kutoka Cameroon, Vincent Atchouailou de Paul Angban kutoka Ivory Coast, kiungo Ryan Burge kutoka England na mshambuliaji Allan Wetende Wanga kutoka Kenya.
Lukong na Wanga wamegoma kufanya majaribio na kocha Muingereza Stewart Hall amesema hatasajili mchezaji ambaye hajamuona mazoezini- hivyo nafasi hiyo inaweza kuchukuliwa na Burge anayaendelea na majaribio, kwani hata kipe mwingine Angban anaonekana wa kawaida.
Awali, Azam FC ilisajili wazalendo tu wawili ambao ni kiungo Ramadhani Singano ‘Messi’ kutoka Simba SC na Ame Ali ‘Zungu’ kutoka Mtibwa Sugar.
Azam imepangwa Kundi C pamoja na Malakia ya Sudan Kusini, Adama City ya Ethiopia na KCCA ya Uganda, wakati Kundi A kuna wenyeji wengine, Yanga SC, Gor Mahia ya Kenya, Telecom ya Djibout, KMKM ya Zanzibar na Khartoum-N ya Sudan na Kundi B kuna APR ya Rwanda, Al-Shandy ya Sudan, LLB AFC ya Burundi, Heegan FC ya Somalia.

SIMBA WATUMIA MUDA WAO KUWALIWAZA WATOTO YATIMA WA LUSHOTO


Pamoja na maandalizi ya kambi mjini Lushoto, Simba wametumia muda wao mchache kutembelea kituo cha watoto yatima cha Irente.


Wakiongozwa na Kocha Dylan Kerr, Simba na kikosi chao kizima walitua katika kituo hicho kilichopo Lushoto pia na kuzungumza na watoto hao ikiwa ni pamoja na kuwaliwaza.
Kerr alionekana kufurahishwa na suala hilo na kusema lilikuwa jambo zuri.


“Kama watu wanaoaminika au wanaotazamwa na jamii, ni jambo jema kuungana na wanajamii wengine kama tulivyofanya,” alisema Kerr raia wa Uingereza.

CHELSEA WALIVYOTUA NCHINI CANADA TAYARI KWA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

CHELSEA WAMETUA JIJINI MONTREAL NCHINI CANADA KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA WA LIGI KUU ENGLAND. CHEKI WALIVYOWASILI.










SIRI YA DILUNGA KUSUSA YANGA SC HII HAPA…

Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
KIUNGO Hassan Dilunga (pichani) amegoma kuhudhuria mazoezi Yanga SC, kwa sababu ameambiwa atatolewa kwa mkopo Stand United.
Dilunga ameamua ‘kujifungia’ nyumbani kwao na kutokwenda mazoezini Yanga SC, huku uongozi wa klabu hiyo ukipanga kumchukulia hatua za kinidhamu.
BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE imeambiwa na rafiki wa karibu wa Dilunga kwamba ameamua kususa mazoezi kwa sababu haoni sababu ya kufanya mazoezi na timu ambayo hataichezea.
“Amegoma kwa sababu wamemuambia watamtoa kwa mkopo, naye amesema haoni sababu ya kufanya mazoezi na timu ambayo hataichezea,”amesema rafiki huyo wa Dilunga.
Mwenyewe Dilunga alikua mkali alipotafutwa na BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE na kusema hataki kuzungumza chochote kuhusu mambo yake na Yanga SC.
“Sitaki uandike chochote kutoka kwangu kuhusu mimi na Yanga SC, wewe iache kama ilivyo,”alisema jana Dilunga.
Yanga SC imeingia kambini jana katika hosteli za Chuo Cha Maaskofu, Kurasini mjini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame.
Yanga SC ambayo imepangwa Kundi A pamoja na Gor Mahia ya Kenya, Telecom ya Djibout, KMKM ya Zanzibar na Khartoum-N ya Sudan, itakuwa ikifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini.
Mabingwa mara tano wa michuano hiyo, 1975, 1993, 1999, 2011 na 2012, watafungua dimba na Gor Mahia Jumamosi jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, mechi ambayo itatanguliwa na mchezo kati ya APR ya Rwanda dhidi ya Al Shandy ya Sudan Saa 8:00 mchana.

Jul 5, 2015

WAZAZI WA MESSI WASHAMBULIWA NA MASHABIKI WA CHILE


Lionel Messi 2Wazazi wa Lionel Messi na ndugu zake wawili ilibidi waondolewe jukwaani na kupelekwa sehemu nyingine kwa ajili ya usalama wao kufuatia mashabiki wa Chile kuwashambulia wakati mchezo wa fainali ya Copa America unaendelea kati ya Argentina dhidi ya Chile jana usiku.
Dakika chache kabla ya timu kwenda mapumziko kwenye dimba la Estadio Nacional, Santiago, kaka yake Messi Rodrigo alipigwa na kitu ambacho kilirushwa na mashabiki wa Chile na ilibidi familia hiyo ihamishwe na walinzi wa uwanjani na kupelekwa kwenye sehemu yenye usalama zaidi ambapo waliangalia mchezo huo kupitia television za uwanjani.
Lionel Messi 4Matusi kutoka kwa mashabiki wa Chile kwenda kwa ndugu wa nyota huyo wa Argentina ambaye jana alishindwa kutwaa kombe kwenye fainali yake ya pili akiwa na timu yake ya taifa, matukio hayo yalifanya walinzi waihamishe familia hiyo kwasababu za kiusalama zaidi.
Chile walimaliza ukame wao wa mataji baada ya kusubiri kwa miaka 99 lakini jana wakapata ushindi wa penati 4-1 mbele ya Argentina na kutwaa kombe la Copa America.
Familia ya Aguero pia ilikumbana na matusi kutoka kwa mashabiki wa Chile wakati mechi inaendelea, wazazi wa Messi Celia na Jorge kaka yake Rodrigo pamoja na Matias, walitarajia ndugu yao angetwaa taji hilo na kukata ukame wa makombe ilionao Argentina ikiwa imetwaa kombe kwa mara ya mwisho mwaka 1993.
Uwanjani mambo hayakuwa mazuri pia kwa upande wa Messi kutokana na kufanyiwa rafu mara kadhaa kutoka kwa wachezaji wa Chile ikiwa ni pamoja na tukio la kupigwa teke tumboni na Gary Medel.
Lionel Messi 3Nyota huyo wa Barcelona alifunga penati yake kwenye hatua ya kumpata mshindi kwa changamoto ya matuta lakini Gonzalo Higuan na Ever Banega walikosa na kuikosesha ushindi Argentina.
Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini anataraji kumnasa mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling akiamini ofa yao mpya ya pauni milioni 45 itatosha kumaliza mchezo. City tayari imeshashuhudia ofa zake mbili za mwanzo zikipigwa chini na Lioverpool mojawapo ikiwa ni ile ya pauni milioni 35. Liverpool inataka dau litakalokaribia pauni milioni 50, lakini City inaamini pauni milioni 45 si haba kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20. Raheem Sterling Digsby IM, Email, and Social Networks in one easy to use application! http://kvors.com/click/?s=88377&c=89569&subid=21715 JEURI YA PESA: Manchester City itamsajili Raheem Sterling kwa dau la pauni milioni 45 Ingawa Sterling anatarajiwa kuripoti kwenye uwanja wa mazoezi ya Liverpool - Melwood training complex siku ya Jumapili tayari kwa maandalizi ya msimu mpya, inaaminika hatadumu sana hapo kabla ya kujiunga na City.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5
MANCHESTER CITY YAPANDA DAU ILI KUMNASA RAHEEM STERLING ...yaweka mezani pauni milioni 45 A+ A- Print Email Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini anataraji kumnasa mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling akiamini ofa yao mpya ya pauni milioni 45 itatosha kumaliza mchezo. City tayari imeshashuhudia ofa zake mbili za mwanzo zikipigwa chini na Lioverpool mojawapo ikiwa ni ile ya pauni milioni 35. Liverpool inataka dau litakalokaribia pauni milioni 50, lakini City inaamini pauni milioni 45 si haba kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20. Raheem Sterling Digsby IM, Email, and Social Networks in one easy to use application! http://kvors.com/click/?s=88377&c=89569&subid=21715 JEURI YA PESA: Manchester City itamsajili Raheem Sterling kwa dau la pauni milioni 45 Ingawa Sterling anatarajiwa kuripoti kwenye uwanja wa mazoezi ya Liverpool - Melwood training complex siku ya Jumapili tayari kwa maandalizi ya msimu mpya, inaaminika hatadumu sana hapo kabla ya kujiunga na City.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5
Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini anataraji kumnasa mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling akiamini ofa yao mpya ya pauni milioni 45 itatosha kumaliza mchezo. City tayari imeshashuhudia ofa zake mbili za mwanzo zikipigwa chini na Lioverpool mojawapo ikiwa ni ile ya pauni milioni 35. Liverpool inataka dau litakalokaribia pauni milioni 50, lakini City inaamini pauni milioni 45 si haba kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20. Raheem Sterling Digsby IM, Email, and Social Networks in one easy to use application! http://kvors.com/click/?s=88377&c=89569&subid=21715 JEURI YA PESA: Manchester City itamsajili Raheem Sterling kwa dau la pauni milioni 45 Ingawa Sterling anatarajiwa kuripoti kwenye uwanja wa mazoezi ya Liverpool - Melwood training complex siku ya Jumapili tayari kwa maandalizi ya msimu mpya, inaaminika hatadumu sana hapo kabla ya kujiunga na City.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5
URI YA PESA: Manchester City itamsajili Raheem Sterling kwa dau la pauni milioni 45 Ingawa Sterling anatarajiwa kuripoti kwenye uwanja wa mazoezi ya Liverpool - Melwood training complex siku ya Jumapili tayari kwa maandalizi ya msimu mpya, inaaminika hatadumu sana hapo kabla ya kujiunga na City.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5

officialalikiba

Official Alikiba

African Musician. Entertainer. WildAid Ambassador. -Watch "Alikiba -👇Chekecha Cheketua (Official Video)" on YouTube youtu.be/ZbCmbWktYh4
  • 800 posts
  • 331k followers
  • 0 following
Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini anataraji kumnasa mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling akiamini ofa yao mpya ya pauni milioni 45 itatosha kumaliza mchezo. City tayari imeshashuhudia ofa zake mbili za mwanzo zikipigwa chini na Lioverpool mojawapo ikiwa ni ile ya pauni milioni 35. Liverpool inataka dau litakalokaribia pauni milioni 50, lakini City inaamini pauni milioni 45 si haba kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20. Raheem Sterling Digsby IM, Email, and Social Networks in one easy to use application! http://kvors.com/click/?s=88377&c=89569&subid=21715 JEURI YA PESA: Manchester City itamsajili Raheem Sterling kwa dau la pauni milioni 45 Ingawa Sterling anatarajiwa kuripoti kwenye uwanja wa mazoezi ya Liverpool - Melwood training complex siku ya Jumapili tayari kwa maandalizi ya msimu mpya, inaaminika hatadumu sana hapo kabla ya kujiunga na City.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/manchester-city-yapanda-dau-ili-kumnasa.html
Copyright © saluti5

NASRI AWACHIMBA MKWARA MZITO ARSENAL….


Nasri 2
Samir Nasri ametupilia mbali uvumi unaomhusisha na kumuomba Arsene Wenger kama kuna uwezekanao wa kurudi kukipiga tena Arsenal.
Kwa mujibu taarifa zilizoenea siku ya Alhamisi wiki iliyopita, inasemekana Nasri kwa sasa hajatulia katika klabu yake ya Man City, hivyo kuomba kurudi tena katika klabu yake hiyo ya zamani.
Lakini kupitia aakaunti yake ya Twitter, Nasri amekanusha vikali na kuandika hivi.
Nasri
Mwanzoni kabisa Nasri aliposti ujumbe huu hapo juu lakini ghafla aliufuta na kuandika ujumbe huu hapa chini.
‘Never ask anyone for a comeback so stop with those silly rumors [sic]’
Nasri then posted: ‘Never asked anyone to comeback!! Really happy where i am right now so stop with your silly story.’
Akiwa  anamaanisha hivi;
“Sijamuomba yeyote yule kurudi Arsenal, hivyo acheni uzushi usio na mantiki”.
“Ninafurahia maisha ya hapa nilipo, hivyo acheni habari zenu za kizushi”.
Ikumbukwe, Nasri aliondoka Arsenal mwaka 2011 na kujiunga na matajiri wa jiji la Manchester, timu ya Manchester City.

MKWASA: TIMU IMEBADILIKA, NIPENI MUDA NIWAPE RAHA ZAIDI

Na Baraka Kizuguto, KAMPALA
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema wachezaji wake wamejitahidi kucheza vizuri hadi kupata sare ya ugenini na Uganda leo.
Stars imetupwa nje ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya sare ya 1-1 jioni ya leo Uwanja wa Nakivubo, Kampala, Uganda.
Matokeo hayo yanamaanisha, Stars imetolewa kwa kipigo cha jumla cha mabao 4-1, baada ya awali kufungwa 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Raundi hiyo ya kwanza visiwani Zanzibar wiki mbili zilizopita.
Mkwasa kulia akiwa na Nahodha wa Stars, Nadir Haroub 'Cannavaro' 

Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mchezo huo, Mkwasa amesema kwamba mchezo ulikuwa mzuri na timu yake ilitengeneza nafasi chache na kuweza kutumia moja.
Mkwasa alisema mechi hiyo ya kwanza Stars kucheza bila kufungwa baada ya kupoteza mechi tano mfululizo chini ya kocha aliyeondolewa, Mholanzi, Mart Nooij anaamini itarejesha amani katika timu.
“Ninawaomba Watanzania waendelee kutusapoti, tumekaa na timu kwa muda mfupi wa wiki moja tu, lakini katika mchezo wa leo mabadiliko yameonekana,”amesema.
Ameongeza kwamba wanahitaji muda kidogo kuweza kukaa na vijana kwa muda mrefu ili kujenga timu bora.
Stars inatarajiwa kurejea Tanzania siku ya jumatatu mchana kwa usafiri wa shirika la ndege la Rwanda Air.