SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

May 4, 2015

KOPUNOVIC; NIMEMALIZA UBISHI, SIMBA NDIYO TIMU BORA TANZANIA, HAKUNA CHA AZAM WALA YANGA

REKODI YA GORAN KOPUNOVIC SIMBA SC Simba SC 1-0 Mafunzo (Kombe la Mapinduzi) Simba SC 1-0 JKU (Kombe la Mapinduzi) Simba SC 4-0 Taifa Jang’ombe (Robo Fainali Kombe la Mapinduzi) Simba SC 1-0  Polisi (Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi) Simba SC 0-0...

Jumatatu MAY 4 2015 kurasa za #Magazeti zimeamka na hizi

...

PAC MAN: ILIBAKI KIDOGO TU NIJITOE PAMBANO NA MAYWEATHER

BONDIA Manny Pacquiao amesema kwamba alikaribia kujitoa katika pambano aliloliingiza dola za KImarekani Milioni 180 leo dhidi ya Floyd Mayweather, ambalo amepoteza kwa pointi. PacMan amesema kwamba aliumia bega mazoezini na Kamisheni ya Michezo Nevada ilimkatalia ombi la kusogeza mbele...

TYSON: MAYWEATHER AMESHINDA KIHALALI

BINGWA wa zamani wa dunia uzito wa juu, Mike Tyson amemaliza ubishi kwa kusema Floyd Mayweather amemshinda kihalali Manny Pacquiao. "Tumelisubiri kwa miaka mitano, nafikiri (Mayweather) ameshinda pambano, alimzidi ngumi Manny. Manny alikuwa ana mwanzo mzuri, lakini (Mayweather) akaimudu hiyo,"amesema...

SAMATTA, ULIMWENGU ‘WAIPELEKA MBELE’ TP MAZEMBE LIGI YA MABINGWA

TANZANIA itaendelea kutajwa katika michuano ya Afrika licha ya timu zake zote kutolewa- kufuatia TP Mazembe kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa jioni ya leo kwa ushindi wa jumla wa 4-3 dhidi ya Stade Malien.Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yenye washambuliaji...