
Na Haji BalouKLABU ya TP Mazembe ya DRC
imeingia katika mazungumzo ya
kuwanunua wachezaji wawili wa
Stand United, beki Abuu Ubwa na
kiungo Haroun Chanongo baada ya
kufanya vizuri katika majaribio yao
mapema Januari.
Wawili hao walisafiri hadi
Lubumbashi, Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC),
mapema...