SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Feb 23, 2015

SIMBA UMOJA NI NGUVU, UTENGANO NI DHAHIFU

Siku zote unapokuwa puppet au kibaraka kwa lugha ya kiswahili mbali na hilo au kuwa mbabe katika uongozi hakutakuwa na tija hata kidogo na hakutakuwa na matokeo mazuri. Kingine ni hili suala la matabaka katika sehemu ambayo umoja unahitajika ili kujenga kitu cha msingi ambao utasimama bila kuwa...

JULIO ALIANZISHA MAPEMAAA, ASAKA WAKANDIAJI WA ‘VIBABU VYAKE’

Na Princess Asia, DAR ES SALAAMKOCHA Mkuu wa Mwadui ambayo jana ailitwaa 'mwali' wa ubingwa wa Ligi Daraja la kwanza Jamhuri Kihwelo 'Julio' amefurahia mafanikio hayo kwa kuwasaka wale wote waliokuwa wakimbeza kwa kuwaita wakongwe.Akizungumza na BIN ZUBEIRY, Julio amesema alikuwa anajua...

SIMBA YAANZA KUDILI NA WAANDISHI WA HABARI.

Baada ya Simba kufanya vibaya uongozi wa klabu na baadhi ya wadau wa karibu wamekaa kikao cha dharula kufikiri kwamba kuna baadhi ya waandishi wa habari ambao wanawaambia ukweli juu ya mwenendo wa Uongozi uliopo madarakani kwamba ndio wanasababisha Simba...

LUIS NANI APIGA BONGE LA BAO KISHA AANGUSHA KILIO UWANJANI

 Kiungo wa Man United anayecheza Sporting Lisbon kwa mkopo amefunga bonge la bao, halafu akaanza kulia. Nani amefunga bao hilo umbali wa zaidi ya mita 30 wakati Sporting ilipishinda Gil Vicente kwa mabao 2-0, jana.   Baada ya kufunga bao hilo safi kabisa, Nani alijilaza...

KWIZERA AANZA VIBAYA RWANDA

Kiungo wa zamani wa Simba, Pierre Kwizera ameanza vibaya katika kikosi chake kipya nchini Rwanda. Rayon Sports, imekumbana na kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa watani wao wa jadi APR katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Amahoro, Kigali, juzi. Kwizera ambaye alicheza katika mechi...

KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO FEB 23, 2015

. . . . . ....

ALICHOSEMASEMA KAPOMBE BAADA YA KUTOKA SARE NA PRISONS

Kapombe (kushoto) siku walipocheza na Simba MCHEZAJI kiraka wa Azam fc, Shomari Salum Kapombe amesema matokeo mabaya wanayopata Prisons ndio chanzo cha kuwakazia jana usiku katika mechi ya ligi kuu Tanzania bara iliyomalizika kwa suluhu uwanja wa Azam Complex. “Prisons walifungwa mechi iliyopita...

REAL MADRID YAICHAPA ELCHE

Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake, Real Madrid usiku wa kuamkia leo katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Elche katika mchezo wa La Liga. Bao lingine la Real lilifungwa na Karim Benzema.      ...