
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAMWASHAMBULIAJI
wawili wa TP Mazembe ya DRC, Thomas Ulimwengu na Mbwana Samatta
watawasili usiku wa leo kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu ya soka
ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars.Wawili hao wamo
katika kikosi cha wachezaji 27 cha Stars kitakachoingia...