
Na Haji balou
Ligi ya Mbuzi Vijana Cup wilaya ya Liwale imeendelea tena hii leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa shule ya msingi Muungano kwa Kombaini fc kuibuka na ushidi wa 3-1 dhidi ya Likongowele fc.
Magoli ya Kombaini fc yamefungwa...