
Salum Telela ni miongoni mwa wachezaji waliongia kwenye kikosi bora cha Kanakamfumu
BAADA ya kuona vikosi bora vya ligi kuu soka Tanzania bara
msimu wa 2014/2015 uliomalizika mei 9 mwaka huu kutoka kwa makocha Hans
van der Pluijm (Yanga), Jamhuri Kiwhelo (Coastal Union), Juma Mwambusi
(Mbeya...