SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Mar 29, 2016

HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA HASSAN ISIHAKA WA SIMBA

Picha ya nahodha wa zamani wa Simba, Hassan Isihaka akiwa amenyoa rasta zake imekuwa gumzo zaidi mitandaoni kuanzia jana. Picha hiyo kwa mara ya kwanza ilitundikwa na SALEHJEMBE, lakini ikasambaa kwenye mitandao mingi na kuwa gumzo. Isihaka alikuwa akipasha na kikosi cha Simba, awali alizoeleka kuonekana...