SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Feb 22, 2015

PRISONS YAITULIZA AZAM CHAMANZI

Sare ya bila kufungana dhidi ya Prisons ya Mbeya imezidi kuibana Azam FC. Sasa imefikisha pointi 27 baada ya mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam, leo. Yanga inaendelea kuongoza ikiwa na pointi nne zaidi ya Azam FC ikiwa ni baada ya kuitwanga...

HUU NDIO MSIMAMO LIGI KUU ENGLAND

 Huu ndio msimamo ligi kuu England baada ya mechi za leo jumapili kuisha   Pos Team P            W         D         L          ...

LIVERPOOL YAPATA USHINDI UGENINI

Timu ya Liverpool imeibuka na ushindi  wa goli 2-0 ugenini dhidi ya wenyeji wao Southampton. Magoli ya Liverpool yamefungwa na  Philippe Coutinho dakika ya 3 na Raheem Sterling dakika ya 73. EVERTON 2 - 2 LEICESTER TOTENHAM  2 - 2 WEST...

SOUTHAMPTOM VS LIVERPOOL MAPUMZIKO MATOKEO YAPO HAPA

Liverpool wakiwa ugenini wanaongoza goli 1-0 dhidi ya wenyeji wao Southamptom goli la Liverpool lilipatikana dakika ya tatu kupitia kwaPhilippe Coutinho na sasa ni mapumzik...

MWADUI FC YA JULIO BINGWA LIGI DARAJA LA KWANZA

Bao pekee lililofungwa na Kelvin Sabato limeiwezesha Mwadui FC kuibuka na ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza. Mwadui FC chini ya Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ imeibuka na ushindi wa bao hilo dhidi ya African Sports ya Tanga na kutawazwa kuwa bingwa katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex,...

YANGA SC YAICHAPA 3-1MBEYA CITY

Yanga SC ya Dar es salaam  imeifunga 3-1 Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Mabao ya Yanga yamefungwa na Simon Msuva, Mrisho Ngassa na Haruna Niyonzima. Sasa yanga ipo...

CHRISTOPHER ALEX MASSAWE AFARIKI DUNIA

Na Omary Katanga, DAR ES SALAAM CHAMA cha Soka Dar es Salaam (DRFA), kimeeleza kusikitishwa kwake na kifo cha mchezaji kiungo wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya taifa, Taifa Stars, Christopher Alex Masawe, kilichotokea leo (Februari 22, 2015),...

STAND PUNGUFU WAILAZA SIMBA 1-0

Timu ya Simba imepoteza mchezo wake wa leo ugenini dhidi ya Stand United ya Shinyanga kwa goli 1-0 goli lililofungwa na mnigeria Chiddy katika dakika za mwanzo za kipindi cha kwanza. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Simba kufungwa nje ya jiji la jiji la Dar es saalam. Mchezaji Yasin Mustapha wa Stand...