Feb 22, 2015

STAND PUNGUFU WAILAZA SIMBA 1-0



Timu ya Simba imepoteza mchezo wake wa leo ugenini dhidi ya Stand United ya Shinyanga kwa goli 1-0 goli lililofungwa na mnigeria Chiddy katika dakika za mwanzo za kipindi cha kwanza. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Simba kufungwa nje ya jiji la jiji la Dar es saalam.
Mchezaji Yasin Mustapha wa Stand United alipewa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu mbaya mchezaji wa Simba Abdi Banda, na mchezaji Abuu Ubwa wa Stand United alipewa kadi nyekundu dakika za mwisho kwa kosa la kupoteza muda

0 maoni:

Post a Comment