
Na Haji balou
Kocha Jose Mourinho hivi karibuni amefanya mahojiano na kituo cha BT Sport na kutoa maoni yake juu ya tofauti ya kuwa na Lionel Messi
katika kikosi na kucheza dhidi yake, hasa katika Champions League.
“Messi ameshinda Champions League na makocha tofauti. Nadhani ni rahisi kushinda ukiwa...