SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Jan 16, 2016

LEICESTER CITY YABANWA MBAVU NA ASTON VILLA

Leicester City imelazimishwa sare ya goli 1-1 ugenini dhidi ya Aston villa katika mchezo wa ligi kuu nchini England. Goli la Leicester City limefungwa na Okazaki katika dk ya 28 na goli la kusawazisha kwa upande wa Aston Villa limefungwa na Gestede dk ya 75. Kwa matokeo hayo  Leicester City inapanda...

AZAM YALAZIMISHWA SARE NA AFRICAN SPORTS

AZAM FC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na African Sports ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Sare hiyo inaiongezea Azam FC pointi moja na kufikisha 36 baada ya mechi 14, ikiwazidi pointi tatu mabingwa watetezi,...

MAN CITY YAUA CHELSEA HOII

Timu ya Manchester City imeibuka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya Crystal palace katika mchezo wa ligi kuu nchini England magoli ya City yamefungwa na Delph  dk 22 Aguero 41,68 Na goli LA mwisho lilifungwa Na David Silva dk 84 Matokeo mengine. Chelsea imetoka sare ya goli 3-3 dhidi ya Everton magoli...

TOTTENHAM YAITANDIKA SUNDERLAND BILA HURUMA

Kiungo wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen akiteleza chini Uwanja wa White Hart Lane kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili timu yake katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Sunderland leo. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Mousa Dembele na Harry Kane kwa penalti, wakati la Sunderland limefungwa...

MATOKEO YOTE YA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO YAPO HAPA

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imeendelea hii Leo katika viwanja tofauti tofauti. Jijini Dar es salaam Simba imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mtibwa sugar goli la timu ya Simba limefungwa na Hamisi kiiza mwanzoni mwa kipindi cha kwanza. Matokeo mengine. Coastal union 1-1 Maji Maji Stand united...

KINACHOFANYA SAMATTA ACHELEWE KWENDA ULAYA NI HIKI HAPA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa klabu ya Nantes ya Ufaransa, Waldemar Kita amesikitishwa mno na kitendo cha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwan Ally Samatta kukataa ofa ya kujiunga na klabu yake, lakini hajakata tamaa kwa sababu kijana huyo bado ni mali ya TP Mazembe. “Tungependa kumpata. Inavyoonekana...

ALI KIBA: SIO KWELI KUWA DIAMOND PLATNUMZ NDIE ANAEPITISHA VIDEO ZA BONGO KWENYE KITUO CHA MTV

Siku kama mbili zilizopita kulikuwa na habari iliyokuwakuwa maarufu sana, ni kuhusu kauli ya Diamond Platnumz akisema kuwa video yoyote ya Bongo haipigwi katika Kituo cha MTV bila yeye kushirikishwa, leo Ali Kiba kaamua kumjibu kwa kusema kuwa hana uhakika na kauli hiyo ya Diamond Platnumz. Katika kipindi...

ALICHOSEMA KOCHA MATOLA BAADA YA SIMBA KUMFUKUZA KOCHA

Matola, amesema Simba imechelewa kumtimua Kocha Dylan Kerr kwani alianza muda mrefu kutibua mambo. Hivi karibuni Matola aliamua kuondoka mwenyewe Simba na kujiunga na Geita Gold Sports ya Ligi Daraja la Kwanza kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kutoelewana kwake na Kerr ambaye ni raia wa Uingereza. Simba...

AZAM FC NA AFRICAN SPORTS NI USIKU LEO CHAMAZI

MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya vinara, Azam FC na African Sports ya Tanga itachezwa kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Leo kutakuwa na jumla ya mechi tatu za Ligi Kuu, Dar es Salaam, moja Uwanja wa Karume kati ya JKT Ruvu na JKT Mgambo na nyingine...