
Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ hamtumii Athuman Idd ‘Chuji’ katika kikosi chake, ishu ikiwa ni moja tu, kwamba kiungo huyo anatakiwa ajitume ili apate nafasi ‘first eleven’.
Tangu Desemba mwaka jana, Chuji
amekosa mechi za Mwadui na kuzua
maswali mengi miongoni mwa wadau wa soka lakini...