Usiku
wa March 07 ilikua ni zamu ya mkoa waArusha nao kufikiwa na ile tour ya
Ali Kiba inayoitwa Chekecha Cheke tour,hii ilikua ndani ya viunga vya
Triple A,kama ilivyokuwa kwa Moshi Ali Kiba pia usiku huo.
Leo March 08 Ali Kiba ataimalizia kanda ya kaskazini kwa show kwenye
mpaka Tanzania na Kenya sehemu inaitwa Namanga,hizi ni baadhi ya picha.
0 maoni:
Post a Comment