
Jana ilikuwa FURAHIDAY kwa watu wa nguvu Dar Es Salaam, staa wetu ambaye kwa sasa yuko kila kona kwa ile hit ya Sophia, Ben Pol alitukutanisha pale Azurra Beach Club kwa pamoja tukaenjoy kwa bata la nguvu kama ishara ya kuuaga mwezi January ndani ya mwaka 2015.
Ilipendeza, nyamachoma, vinywaji na muziki mzuri kutoka kwa Ben Pol mwenyewe, Shilole, Linex na rapper ROMA.
Pichaz za burudani yote hizi hapa mtu wangu.


Muimbaji Ben Pol


Ben Pol alifanya show hiyo akiwa na Band iliyopiga muziki LIVE


Ben Pol kwenye stage na fans wake

- Linex

Linex akitoa burudani kwa fans wake

Rapper ROMA akiwa kwenye stage


Baadhi ya fans waliojitokeza pale Azurra Beach Club

Shabiki akimtuza Ben Pol





Ben Pol na Shilole.
0 maoni:
Post a Comment