
Kilabu ya Manchester United haiwezi
kushinda taji la ligi kwa kuwa haina mshambuliaji mwenye uwezo wa
kufunga mabao 20 kwa msimu.
Meneja Luois Van Gaal amesema kuwa
mshambuliaji mwenye mabao mengi katika klabu hiyo ni Van Persie mwenye
mabao 10 pekee ikilinganishwa na Diego Costa na Sergio Aguerro ambao
wamefunga mabao 17 kila mmoja wao.
''Robin van Persie hawezi kukataa,Falcao naye hawezi kupinga na Rooney hachezi katika safu ya mashambulizi.

Van Gaal alisema:''Kwa sasa hatuna mshambuliaji ambaye anaweza kufunga mabao 20''.
0 maoni:
Post a Comment