SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Nov 23, 2014

MESSI APIGA HAT TRICK BARCELONA IKIICHAPA SEVILLA 5-1, AFIKISHA MABAO 252

Wachezaji wa Barcelona walilazimika kumbeba nahodha wao,Lionel Messi baada ya kufunga bao la tatu, hat trick na kuisaidia Barca kuitwanga Sevilla kwa mabao 5-1. Katika mechi hiyo ya La Liga iliyopigwa kwenye Uwanja wa Camp Nou, Messi alionyesha kuvunja rekodi iliyowekwa na Telmo Zarra. Nyota huyo wa zamani wa Athletic Bilbao aliyetamba kati ya mwaka 1940 na 1955 alimaliza La Liga akiwa amefunga...

Nov 22, 2014

MAN UNITED 'WAJILIA RAHA' KWA ARSENAL, WAWACHAPA 2-1 EMIRATES.

MANCHESTER United imeendeleza ubabe dhidi ya Arenal, baada ya usiku huu kuichapa mabao 2-1 Uwanja wa Emirates katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. United walipata bao la kwanza dakika ya 56, baada ya beki Kieran Gibbs kumfunga mwenyewe kipa wake, Wojciech Szczesny katika harakati za kuokoa krosi ya Antonio Valencia, kabla ya Nahodha Wayne Rooney kufunga la pili dakika ya 85 akimalizia pasi...

MAN UNITED 'WAJILIA RAHA' KWA ARSENAL, WAWACHAPA 2-1 EMIRATES.

MAN UNITED 'WAJILIA RAHA' KWA ARSENAL, WAWACHAPA 2-1 EMIRATES. MANCHESTER United imeendeleza ubabe dhidi ya Arenal, baada ya usiku huu kuichapa mabao 2-1 Uwanja wa Emirates katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. United walipata bao la kwanza dakika ya 56, baada ya beki Kieran Gibbs kumfunga mwenyewe kipa wake, Wojciech Szczesny katika harakati za kuokoa krosi ya Antonio Valencia, kabla ya Nahodha...

Nov 21, 2014

ARSENAL NI VIBONDE WA 'KUPIKA NA KUPAKUA' KWA MAN UNITED, MECHI 11 ZILIZOPITA WAMESHNDA MOJA TU

REKODI YAO YA KWENYE LIGI TANGU 2009 Mechi walizocheza: 11  Man United walizoshinda: 7  Arsenal waliyoshinda: 1 Walizotoka sare: 3  MECHI kati ya Arsenal dhidi ya Manchester United wakati wote imekuwa moja ya michezo ya kusisimua katika historia ya...

KIPA WA SIMBA SC APATA ULAJI OMAN, AWA BOSI WA KIPA WA YANGA SC.

Kipa wa zamani wa Simba SC, Spear Mbwembwe (kulia) akiwa na kipa wa zamani wa Yanga SC, Juma Mpongo mjini Muscat, Oman jana. Mbwembwe ametua jana kwa ajili ya kuwa kocha wa makipa wa klabu ya Seeb ya Ligi Kuu ya nchini humo. Mpongo amekuwa kipa wa timu hiyo tangu mwanzoni mwa msimu huu na...

MUONEKANO WA JEZI MPYA ZINAZOPIGIWA KURA

JEZI ZA NYUMBANI N1 B C D (Imetolewa na Shirikisho la Soka Tanzania, TFF ) ...

Nov 20, 2014

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

. . . . . ...

GHANA YAAMKA, YAICHAPA TOGO YA ADEBAYOR 3-1, YAFUZU AFCON

Pamoja na kucheza bila Gyan Asamoh na Andre Ayew Ghana imefanikiwa kufuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa Afrika (Afcon). Black Star imefanikiwa kufuzu kwa kuichapa Togo iliyoongozwa na Emmanuel Adebayor iliyokuwa ugenini kwa mabao 3-1, leo. Kutokana na ushindi huo, Ghana imefikisha...

Nov 14, 2014

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

...

ANGALIA PICHA ZA TASWIRA NNE ZA DAVID MOYES AKIWA KATIKA KAZI YAKE

KOCHA DAVID MOYES AKIWA AMEANZA RASMI KWA MARA YA KWANZA KUKINOA KIKOSI CHAKE KIPYA CHA REAL SOCIEDAD CHA HISPANIA. KOCHA HUYO WA ZAMANI WA MAN UNITED AMEANZA KAZI MPYA BAADA YA KUTIMULIWA NA MASHETANI HAO NA NAFASI YAKE KUCHUKULIWA NA LOUIS VAN GAAL AMBAYE HATA HIVYO BADO HAJAKAA VIZURI....

Nov 13, 2014

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

. . . . . . . ....

Nov 12, 2014

WASANII WA TANZANIA WAMUOMBEA RAIS JAKAYA KIKWETE.

Staa wa muziki wa Bongo fleva Nasib 'Abdul Diamond'. SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kufanyiwa pasuaji wa tezi dume (prostrate), mastaa mbalimbali wameguswa na kuunganisha nguvu ya pamoja kumfanyia maombi mazito kiongozi huyo wa nchi ili aweze kupona haraka.Rais Kikwete alifanyiwa...

CAF yahaha kutafuta mbadala wa Morocco.

Shirikisho la kanda kanda barani Africa CAF linaendelea kuchambua ni nchi gani itakayookoa jahazi ya kuwa mwenyeji wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kuthibitisha Morocco kuondolewa rasmi kuandaa fainali hizo. Nchi ya Morocco imeondolewa kutokana na kukataa...

Lewis Hamilton atang'ara Abu Dhabi

                             Lewis Hamilton Nguli wa zamani wa dunia wa mbio za magari Nigel Mansell amesema Lui Hamilton ...

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

. . . ....