SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Dec 29, 2015

ALICHOSEMA AVEVA KUHUSU SIMBA KUJENGA UWANJA

  Uongozi wa Simba umesema utaanza rasmi kujenga uwanja wao wa mazoezi mwezi ujao. Rais wa Simba, Evans Aveva amesema watautumia uwanja wao wanaoumiliki kuanza kujenga uwanja wa mazoezi. “Tutaanza kujenga uwanja kwa ajili ya mazoezi kwa ajili ya kupunguza gharama, kwa siku tunalazimika...

ALICHOSEMA PLUIJM BAADA YA KUFUKUZWA KWA NIYOZIMA

KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm amesema kwamba amekwishamuondoa kiungo Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima katika mipango yake na sasa anasonga mbele bila yeye. Akizungumza na BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE leo mjini Dar es Salaam, Pluijm amesema kwamba anaunga mkono hatua iliyochukuliwa...

Dec 28, 2015

AVEVA AFUNGUKA SUALA LA KUIBINAFSISHA SIMBA

Rais wa Simba, Evans Aveva amesema suala la kuibinafsisha klabu hiyo linahitaji ungalifu mkubwa katika mambo kadhaa. Aveva amesema kuwa Simba inaweza kubinafsishwa lakini lazima uongozi uhakikishe na kujua thamani ya klabu  hiyo ikiwa imeishajiridhisha kama ubinafsishaji kweli una...

BAADA YA MECHI ZA LEO JUMATATU MSIMAMO LIGI KUU ENGLAND UPO HIVI

...

HUU NDIO MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA

RnkTeamMPWDLGFGA+/-Pts 1Young Africans1310303052533 2Azam1210202681832 3Simba SC127321991024 4Mtibwa Sugar11731147724 5Mwadui136431612422 6Stand United137151411322 7Tanzania Prisons136341314-121 8Toto African134541215-317 9Mgambo JKT12345710-313 10JKT Ruvu133371520-512 11Mbeya City132561115-411 12Majimaji13328823-1511 13Ndanda12165914-59 14Coastal Union13166614-89 15Kagera Sugar13238416-129 16African...

WEGER AANZA KUMFUKUZIA CHICHARITO

Kocha Arsene Wenger wa Arsenal sasa anataka kuimarisha safe take ya ushambuliaji. Wenger anataka kumsajili mshambuliaji nyota wa zamani wa Manchester United, Javier Harnandez maarufu kama Chicharito. Chicharito sass anakipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani na amekuwa...

ALICHOSEMEA ABDALLAH BIN KLEB KUHUSU KUFUKUZWA KWA NIYONZIMA

MILIONEA Abdallah Ahmed Bin Kleb aliyemleta kiungo Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima Yanga SC, ameunga mkono uamuzi wa kufukuzwa kwa mchezaji huyo. Yanga SC leo imevunja Mkataba na kiungo huyo wa kimataifa wa Rwanda kwa madai ya mchezaji huyo wa Amavubi kukiuka vipengele. “Mimi kwa kweli ninaunga...

SIMBA KUCHEZA NA URA YANGA NA AZAM FC MAPINDUZI CUP

  Mabingwa watetezi, Simba SC wamepangwa Kundi A pamoja na URA, Jamhuri na JKU Na Ali Bakari, ZANZIBAR MABINGWA watetezi, Simba SC wamepangwa Kundi A katika Kombe la Mapinduzi 2016 pamoja na URA ya Uganda, Jamhuri ya Pemba na JKU ya Unguja. Katika ratiba iliyotolewa leo na Chama cha Soka Zanzibar...

Oct 16, 2015

BRENDAN RODGERS APATA KAZI MPYA BAADA YA KUFUKUZWA LIVERPOOL

Ukishafanya kazi ya kuiongoza taasisi kubwa kama Liverpool mambo yako hayawezi kuwa mabaya hata kama umeachishwa kazi. Hivyo ndivyo imemtokea Brendan Rodgers ambae siku kadhaa zilizopita alifukuzwa kazi na club ya Liverpool na sasa hivi taarifa zimetoka kwamba ameshapata kazi mpya. Kazi ya ukocha...

SIMBA SC WAILAUMU TFF WAMEJAA NA UYANGA

Na Princess Asia, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba SC imelalamika kwamba, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) haliwatendei haki kwa sababu uongozi wake umesheheni watu wa Yanga SC. Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ameiambia BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE leo kwamba, imefikia...

NIYONZIMA HATARINI KUIKOSA AZAM KESHO

Haruna Niyonzima akiwa na mkewe leo Kigali, Rwanda baada ya kufunga ndoa ya Kiserikali  Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM UWEZEKANO wa kiungo Haruna Hakizimana Niyonzima kuichezea klabu yake, Yanga SC Jumamosi Dar es Salaam dhidi ya Azam FC ni mdogo. Nahodha huyo wa Rwanda, amefunga ndoa na...

BOBAN ATAMBA SIMBA ITAFIA SOKOINE KESHO

Na Mwandishi Wetu, Mbeya Mbeya City inatarajiwa kuikaribisha Simba, kesho Jumamosi katika Ligi Kuu Bara lakini ujio wa kiungo Haruna Moshi ‘Boban’ umeongeza nguvu kwenye kikosi cha Mbeya City ambapo amesema anaamini timu yake itaibuka na ushindi. Akizungumza mara baada ya kumalizika...

Jul 29, 2015

KAZIMOTO ALITAKAA KWENDA MISRI AKAAMUA KURUDI SIMBA

KAZIMOTO AKIWA QATAR... Kiungo Mwinyi Kazimoto amejiunga tena na Simba akitokea Al Markhiya ya Qatar. Mwinyi amerejea Simba baada ya kujiunga na Al Markhiya akitokea Msimbazi.  Ameichezea timu hiyo ya daraja la pilim misimu miwili, lakini ikashindwa kupanda daraja. AKISAINI...

Jul 25, 2015

SIKIA CANNAVARO ALIVYOWAAMBIA SIMBA KAMA WATAMSAJILI MICHAEL OLUNGA

OLUNGA (KULIA) AKISHANGILIA NA WENZAKE WA GOR MAHIA... Simba inapambana muda wote kuhakikisha inamsajili straika Michael Olunga wa Gor Mahia, lakini nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ni kama anataka kutibua dili hilo aliposema; “Huyo Olunga hana lolote, isipokuwa ana bahati tu.” Cannavaro...

Jul 16, 2015

KIBURI CHAMUONDOA VALDEZ MAN UNITED

Hatimaye kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amefumbua kile kilichokua kimejificha baada ya kushuhudia golikipa Victor Valdez akiachwa katika safari ya ‘Pre-season’ nchini Marekani. Akiongea kwa mara ya kwanza na vyombo vya habari katika ‘tour’ hiyo ya nchini Marekani, pamoja na mambo...

STEWART ASEMA MESSI,TCHETCHE, AME, WAWA WOTE ‘WAPO UNGA’

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM NYOTA wa Azam FC, Serge Wawa Pascal Kipre, Miachel Balou, Kipre Herman Tchetche wote raia wa Ivory Coast pamoja wazalendo Ramadhani Singano ‘Messi’ na Ame Ali ‘Zungu’ wote hawako fiti. Hayo yamesemwa na kocha Mkuu wa timu hiyo Muingereza, Stewart John Hall...

SIMBA WATUMIA MUDA WAO KUWALIWAZA WATOTO YATIMA WA LUSHOTO

Pamoja na maandalizi ya kambi mjini Lushoto, Simba wametumia muda wao mchache kutembelea kituo cha watoto yatima cha Irente. Wakiongozwa na Kocha Dylan Kerr, Simba na kikosi chao kizima walitua katika kituo hicho kilichopo Lushoto pia na kuzungumza na watoto hao ikiwa ni pamoja...

CHELSEA WALIVYOTUA NCHINI CANADA TAYARI KWA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA

CHELSEA WAMETUA JIJINI MONTREAL NCHINI CANADA KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA WA LIGI KUU ENGLAND. CHEKI WALIVYOWASILI. ...