SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Mar 31, 2015

YAYA TOURE AFIKIRIA KUIVUA 'KIMOJA' JEZI YA IVORY COAST

KIUNGO Yaya Toure amesema anafikiria kustaafu soka ya kimataifa baada ya kutimiza malengo yake. Toure aliiongoza nchi yake kama Nahodha kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika, hilo likiwa taji la kwanza kubwa baada ya zaidi ya miongo miwili na sasa anaweza kufuata nyayo za kaka yake,...

DI MARIA AONGOZA MAUZO YA JEZI ENGLAND

HIZI ni habari njema ambazo zinaweza kumfariji Angel di Maria. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Argentina amekuwa ana msimu mgumu Manchester United uwanjani, lakini kiwango chake hakijaathiri umaarufu wake nje ya Uwanja kutokana na jezi kuongoza kwa mauzo katika Ligi Kuu ya England. Kwa mujibu...

Mar 30, 2015

YANGA YAKODI 'MWEWE' WA SERIKALI KUWAFUATA WAZIMBABWE KOMBE LA SHIRIKISHO

MOJA YA NDEGE ZINAZOMILIKIWA NA SERIKALI YA TANZANIA. Yanga inatarajiwa kwenda Zimbabwe Ijumaa, tayari kuivaa FC Platinum. Kikosi cha Yanga kinatarajia kufanya safari yao ya Zimbabwe kwa kutumia ndege ya serikali. Habari za kuaminika kutoka ndani ya Yanga zimeeleza timu hiyo itasafiri...

Mar 26, 2015

MESSI NDIYE MWANASOKA 'MKUNJA MKWANJA MNENE' DUNIA NZIMA, MOURNHO ATISHA KWA MAKOCHA

MSHAMBULIAJI wa Bracelona, Lionel Messi ndiye mchezaji anayelipwa zaidi kwa sasa duniani, akiwa anaingiza karibu Pauni Milioni 1 kwa wiki kutokana na mshahara na mikataba ya udhamini. Nyota huyo wa kimataifa wa Argentina aliingiza pauni Milioni 47.8 mwaka 2014 za udhamini pamoja...

Mar 25, 2015

MAGAZETI YA MICHEZO YA LEO MARCH 25 YAPO HAPA

. . . . . . ....

Mar 24, 2015

KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO MARCH 24 2015 ZIPO HAPA

. . ....

SAMATTA NA ULIMWENGU WAREJEA NYUMBANI JANA KUICHEZEA STARS DHIDI YA MALAWI MWANZA

Na Prince Akbar, DAR ES SALAAMWASHAMBULIAJI wawili wa TP Mazembe ya DRC, Thomas Ulimwengu na Mbwana Samatta watawasili usiku wa leo kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars.Wawili hao wamo katika kikosi cha wachezaji 27 cha Stars kitakachoingia...

Mar 23, 2015

MALINZI AWAPONGEZA TWIGA STARS KUIADHIBU ZAMBIA

Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAMRAIS wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini –TF, Jamal Malinzi ametuma salama za pongezi kwa timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) kwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia (The She-polopolo).Katika salam zake...

Mar 22, 2015

YANGA SC NA MGAMBO KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI

Beki wa Yanga SC, Oscar Joshua akiwa hewani kuppiga mpira kichwa dhidi ya Salim Mlima wa Mgambo JKT katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Yanga SC ilishinda 2-0. Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka Mohammed Samatta wa Mgambo Simon...

KURASA ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMAPILI 22 MARCH ZIPO HAPA

. . . . . . . ....

Mar 21, 2015

MICHAEL CARRICK ASAINI MKATABA MPYA MAN UNITED

KIUNGO Michael Carrick amepata bonge la furaha Manchester United kuelekea mechi na mahasimu wao wakubwa, Liverpool baada ya kusaini Mkataba mpya mwaka mmoja Old Trafford. Taarifa ya Manchester United iliyotumwa BIN ZUBEIRY imesema kwamba kiungo huyo anabaki kuwa mchezaji muhimu...

NGASSA APATA ‘GONJWA LA AJABU’ YANGA SC NA LEO HAWEZI KUCHEZA DHIDI YA MGAMBO

Na Mahmoud Zubeiry, TANGAKIUNGO mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa amepata ugonjwa ambao yeye mwenyewe hauelewi na leo anaweza kukosa mechi dhidi ya Mgambo Shooting.Yanga SC wanacheza na JKT Mgambo leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara,...

KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO IJUMAA

. . . ....

Mar 20, 2015

VAN GAAL AKUALI YAISHE ATANGAZA KUJIENGUA

Meneja wa klabu ya Man Utd, Louis van Gaal ametangaza kustahafu kufanya kazi aliyo nayo sasa mara atakapomaliza mkataba wake na klabu hiyo ya nchini England. Van Gaal, sanjari na wachezaji wake mwishoni mwa juma hili watakabiliwa na mchezo muhimu katika ligi ya nchini England...

CANNAVARO AREJEA MZIGONI, YU TAYARI KWA MGAMBO KESHO

CANNAVARO (WA TATU KUSHOTO) AKIWA NA WENZAKE WAKIJIFUA KWENYE UWANJA WA MKWAKWANI MJINI TANGA, LEO. Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amerejea mazoezini na kuungana na wenzake mjini Tanfa. Cannavaro ambaye alishonwa nyuzi saba baada ya kupasuka usoni wakati wa mechi ya watani...

RATIBA ROBO FAINALI UEFA HII HAPA

Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) leo limekamilisha upangaji wa ratiba ya mechi za robo fainali huku Real Madrid ikipewa Atletico Madrid. Wapinzani hao wakubwa kutoka nchini Hispania walicheza fainali ya mwaka jana ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Real Madrid kuibuka na ushindi, tena katika...

SSERUNKUMA YUPO SIMBA MILELE, WAKALA ASEMA

Na Vincent Malouda, NAIROBIWAKALA wa straika la Simba SC Dan Sserunkuma, Ken Joseph, amesisitiza kuwa mteja wake yungali mchezaji wa Wekundu wa Msimbazi hadi mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa mwaka 2016.Kumekuwepo na tetesi kuwa raia huyo wa Uganda tayari amewaandikia viongozi...

ALICHOSEMA SSERUNKUMA KUHUSU UCHAWI SIMBA

Mshambuliaji wa klabu ya Simba pamoja na Timu ya Taifa ya Uganda, Dan Sserunkuma, amefunguka ya moyoni kuhusiana na ushirikina na kusema kuwa, Hajawahi kuambiwa na uongozi wa timu juu ya kutumia maswala hayo licha yakuwa Imani yake hairuhusu Ushirikina.  Nyota huyo ambaye alikuwa...

KOCHA ENGLAND ATOA YAMOYONI KUHUSU HARRY KANE

  Kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson amesema ingeshangaza sana kama mchezaji kinda wa klabu ya Tottenham Harry Kane asingejumuishwa katika kikosi cha Nchi hiyo kinachotarajiwa kumenyana na Lithuaniana na Italy. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, ni miongoni mwa wachezaji...

KILICHOANDIKWA KWENYE KURASA ZA MBELE NA ZA NYUMA MAGAZETI YA MICHEZO LEO IJUMAA.

. . . . . . ....