SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Apr 29, 2015

VAN PERSIE ‘AFUFUKA’, APIGA MBILI MAN UNITED IKISHINDA 4-1 ENGLAND

MSHAMBULIAJI Robin van Persie usiku huu amefunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 wa  U21 ya Manchester United dhidi ya vijana wenzao wa Fulham Uwanja wa Craven Cottage. Van Persie ambaye amekuwa nje ya Uwanja tangu Februari kutokana na majeruhi, alifunga mabao hayo katika dakika za...

FERGUSON: RONALDO ANAWEZA KUNG'ARA POPOTE, HATA MILLWAL, QPR... MESSI NI WA BARCELONA TU

KOCHA wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson ametaja sababu za wakati wote kumuona Cristiano Ronaldo yuko juu ya Lionel Messi wakati anazungumza na John Parrott wakicheza pool table, maarufu pia kama snooker. Kocha huyo mwenye mafanikio makubwa zaidi katika historia...

MESSI, SUAREZ KILA MMOJA APIGA MBILI BARCA IKIUA 6-0

TIMU ya Barcelona imezidi kuukaribia ubingwa wa Ligi Kuu Hispania, La LIga baada ya leo kuifunga Getafe mabao 6-0 Uwanja wa Nou Camp na sasa inawazidi Real Madrid kwa pointi tanio. Lionel Messi aliwafungia wenyeji bao la kwanza dakika ya 10 kwa mkwajunwa penalti baada ya Luis Suarez...

Apr 28, 2015

KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMANNE ZIPO HAPA

...

TAMBWE AZIDI KUWAUMIZA ROHO SIMBA

AMISSI Tambwe ameendelea kuonesha thamani yake na kuwadhihirishia Simba kuwa yeye ni mfungaji hatari baada ya jana kupiga magoli matatu ‘hat-trick’ katika ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya Polisi Moro. Yanga walichukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2014/2015 baada ya ushindi wa jana...

MSUVA AZUNGUMZIA GOLI LAKE LINALO FANANA NA LA VAN PERSIE

SIMON Happygod Msuva amesema anajisikia furaha kuchukua ubingwa huku goli lake alilofunga kwa kichwa dhidi ya Ruvu Shooting likijadiliwa mno kwenye mitandao ya kijamii na kufananishwa na alilofunga mshambuliaji wa Manchester United na Uholanzi, Robin...

SHANGWE ZA UBINGWA YANGA RAHA TUPU WACHEZAJI, MAKOCHA HADI MASHABIKI

...

JOHN TERRY 'ANAVYOMSUTA' BENITEZ AELEKEA KUCHEZA MECHI 38 ZA MSIMU BILA TATIZO

MIAKA miwili ilitopita, kocha Rafa Benitez alipokuwa wa Chelsea mustakabali wa beki John Terry ulikuwa shakani Stamford Bridge. Aprili mwaka 2013, kocha huyo Mspanyola alisema kwamba hawezi kuendelea kumchezesha mechi mbili kwa wiki na uamuzi huo wa utata ulitokana na maumivu ya goti...

Apr 27, 2015

TAMBWE AWAGARAGAZA SIMBA SC ‘KIZIMBA CHA TFF’, WATAKIWA KUMLIPA MAMILIONI YAKE, VINGINEVYO WATAKOMA!

Na Princess Asia, DAR ES SALAAMMSHAMBULIAJI Amissi Tambwe ameshinda kesi dhidi ya klabu yake ya zamani, Simba SC juu ya mafao yake.Simba SC ilimtema mshambuliaji huyo wa Burundi ndani ya Mkataba, lakini ikashindwa kumlipa, naye akafungua kesi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).Kesi...

MAGAZETI YA MICHEZO LEO 27 APRIL YAPO HAPA

...

GERRARD, LAMPARD WAPEWA 'HESHIMA YAO' ENGLAND

VIUNGO  wa zamani wa kimataifa wa England, Steven Gerrard na Frank Lampard usiku huu wamepewa tuzo kutokana na mchango wao mkubwa katika Ligi Kuu ya England. Wawili hao wanaohamia Marekani mwishoni mwa msimu baada ya kucheza England kwa muda mrefu, wamepewa tuzo hizo na Chama cha Wachezaji...

CHICHARITO AMSUTA HENRY, AIPIGIA MBILI REAL IKICHAPA MTU NNE LA LIGA

NYOTA ya mshambuliaji Javier Hernandez ‘Chicharito’ imeendelea kung’ara baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid ikiibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji Celta Vigo Uwanja wa Balaidos katika mchezo wa La Liga usiku wa kuamkia leo. Real sasa inapunguza pengo la idadi ya pointi...

HAZARD MCHEAJI BORA WA MWAKA ENGLAND

Na Anwar Binde, Baada ya kusubiri kwa misimu miwili hatimae Eden Hazard wa Chelsea ameibuka mchezaji bora wa mwaka wa England na kutwaa tuzo ya PFA. Hazard mwenye umri wa miaka 24 amefunga mabao 13 na na kusaidia wafungaji (assists) 8 katika michezo 33 ya ligi kuu ya nchi hiyo na kuisaidia...

Apr 22, 2015

KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO ZA MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMATANO ZIPO HAPA

  ...

BARCA WAITAFUNA UPANDE WA PILI PSG, WATINGA NNE BORA ULAYA KIULAINI

+16 Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake, Dani Alves baada ya kuifungia mabao yote Barcelona jana katika ushindi wa 2-0 dhidi ya PSG ya Ufaransa katika Robo Fainali ya pili Ligi ya Mabingwa jana Uwanja wa Camp Nou. Barca sasa inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-1,...

BAYERN MUNICH WATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ILE KIBABE HASWA

Mshambuliaji wa Bayern Munich, Thomas Muller akishangilia na mchezaji mwenzake, Thiago baada ya ushindi wa 6-1 dhidi ya FC Porto katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani. Mabao mengine ya Bayern yalifungwa na Thiago,...

Apr 20, 2015

KURASAZAMWANZO NA ZA MWISHO ZA MAAZETI YA MICHEZO LEO APRIL 20

...

KIUNGO ‘BABU KUBWA’ ANAYELIPWA MILIONI 44 KWA MWEZI TAYARI KUTUA YANGA SC

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMKIUNGO anayelipwa dola 25,000 za Kimarekani kwa mwezi Etoile du Sahel ya Tunisia, (zaidi ya Sh. Milioni 44 za Tanzania), Mcameroon Franck Kom amesema yuko tayari kutua Yanga SC iwapo wataweza kumlipa mshahara huo.Kom aliwapoteza kabisa viungo wa...

HANS POPPE AWACHOKOZA YANGA, AWAAMBIA; “MTAFUNGWA TUNISIA, NA PIGA, UA MSUVA ATAVAA JEZI NYEKUNDU”.

Na Hemed Kivuyo, DAR ES SALAAMMWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ameendeleza wimbi la kuitisha la kuitisha timu ya Yanga baada ya kutamba kwamba winga wa timu hiyo  Simon Msuva ni damu ya Simba ana atatua Msimbazi msimu ujao.Poppe ameyasema hayo  alipokuwa...

YANGA SC WAINGIA KAMBINI LEO, KESHO WANA STAND UNITED TAIFA

Kocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAMYANGAS SC wanarudi kambini leo baada ya mapumziko ya siku moja, kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Stand United kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Yanga SC walilazimishwa sare ya...

Apr 17, 2015

KURASAZAMAGAZETIYA MICHEZO LEO IJUMAA ZIPO HAPA

...